You are here

African Economic Outlook (AEO) 2018 - Swahili version

16-Apr-2018

Sehemu ya kwanza ya toleo la mwaka huu la mwelekeo wa uchumi wa bara la Afrika imefanya uchambuzi wa mwenendo wa uchumi na mabadiliko ya kimfumo barani Afrika, na kuainisha matarajio kwa mwaka 2018. Sehemu ya pili imejikita katika kufafanua umuhimu wa kuimarisha miundombinu na kupendekeza mikakati mipya na bunifu ya njia za ugharamiaji kwa ajili ya nchi kutafakari uwezekano wa kuzitumia kulingana na kiwango cha maendeleo ilichofikia na mazingira ya nchi husika.

Related Sections