Vous êtes ici

African Economic Outlook (AEO) 2019 - Kiswahili Version

07-juin-2019

Taarifa ya Matazamio ya Kiuchumi Afrika ya mwaka huu inachambua maendeleo ya kiuchumi ya hivi karibuni barani Afrika na mwelekeo wake kwa kujikita zaidi katika athari za nje zinazotokana na kutokuwepo kwa uwiano wa ukuaji wa uchumi pamoja na changamoto za kifedha zinazotokana na ushirikiano wa kiuchumi (Sura ya 1). Vilevile, taarifa hii inachambua uzalishaji wa ajira kwa kutizama mwenendo wa makampuni (Sura ya 2). Baada ya hapo itaangazia ushirikikano wa kiuchumi barani Afrika na sera zinazoweza kuleta mafanikio makubwa ya kiuchumi (Sura ya 3).

Sections Connexes